Nyumba Inavyumba vi4 juu vi3 chini kimoja na chumba kimoja master, ina seeting room dinning room kitchen store public toilet, eneo lake ni Sqm elfu 1000 documents Hati miliki ipo, bei millioni 150 maogezi yapo yakutosha tu njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni za mteja mwenyewe
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!