nyumba kubwa inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet pia ina coter yenye vyumba vi2 vya kulala seeting room dinning room na choo chake eneo lake ni Sqm 898 documents Title deed ipo njoo ukague tufanye biashara bei millioni 300 maogezi yapo mwenyewe anashida anachukua hata kwa awamu mbili garama za kwenda saiti kuona ni elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!