Nyumba Inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ipo ndani ya fensi bei millioni 60, nyumba ipo Kilometer 2 kutoka Morogoro road njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!