Nyumba Inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba ina Air-condition eneo lake ni Sqm 800 nyumba ipo ndani ya fensi, pia haipo mbali na barabara kubwa ya lami pia nyumba hii imepakana kabisa na FAN CITY zinaachiana ukuta tu njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!