Nyumba inavyumba vi4 vya kulala vi3 ni self container ina seeting room dinning room kitchen store public toilet huduma zote za kijamii zipo nyumba haipo mbali na barabara kubwa ni dakika 1 tu kwa miguu unafika kwenye nyumba, bei millioni 75 maogezi kidogo yapo garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 njoo ukague tufanye biashara
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!