Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo ukubwa wa eneo lake ni Sqm 500 documents Hati ya mauziano serikali za mitaa nyumba ipo vizuri sana na nimpya bado haijatumika bei millioni 80 maogezi kidogo yapo njoo ukague garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 umbali kutoka bagamoyo road ni mita 500 tu unafika kwenye nyumba
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!