Nyumba mpya kabsa inavyumba vi3 kimoja self ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo tayari ukubwa wa eneo lake ni Sqm 500 nyumba ipo ndani ya fensi naina parking ipo yakutosha kupaki gari 3 bei millioni 80 maogezi yapo njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20 umbali kutoka bagamoyo road ni mita 500 tu. Njoo mdau nyumba kali sana hii sio ya kukosa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!