Nyumba inavyumba vi3 kimoja master bedroom ina seeting room dinning room kitchen store public toilet umeme upo maji yapo nyumba mpya kabisa haijakaliwa bado lakini imeshakamilika kila kitu ni kahamia tu ukubwa wa eneo lake ni Sqm 500 documents Hati ya mauziano serikali za mitaa nyumba ipo mita 500 tu kutoka bagamoyo road bei millioni 80 maogezi yapo kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 20
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!