9. Jun, 11:58
Utambulisho wa Tangazo 2944372
TSh 300,000

INAPANGISHWA LAKI 3 KWA MWEZI

Dodoma Mjini Dodoma
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
Maelezo

NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-INAMFAA MTU ASIYE NA HARAKA ANAYEWEZA KUSUBIRI SIKU 14 MPAKA 20 TU

MAHALI-CHANG'OMBE EXTENSION-KWA WASIOKUFAHAMU HUKU SIO USWAHILINI NI MTAA WENYE NYUMBA MPYA TUPU NA USALAMA MKUBWA.INAPAKANA NA NKUHUNGU

SIFA ZA NYUMBA
-VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTA
-SEBULE
-JIKO
-PUBLIC TOILET

HUDUMA
-MAJI 24/7
-UMEME 24/7
-PARKING SPACE IPO
-IKO NDANI YA FENSI
-ZIKO MBILI NDANI YA FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UKUTA NA FENSI YAKE.MOJA INA MTU TAYARI NYINGINE NDIO HII IKO KWENYE FINISHING NDOGO NDOGO

BEI-300,000@MWEZI

MUDA WA MALIPO-MIEZI 6+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA

GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000

NB-RUHUSA KUONA+KULIPIA UKASUBIRI SIKU 14 MPAKA 20 TU ITAKUWA TAYARI

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Mwanachama tangu 30. Des '15
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!