Tunafanya delivery Popote Tanzania na Nje ya Tanzania kwa Gharama nafuu kabisa.
Dar - Gharama ni 5,000 (popote tunakuletea)
Mkoani - Gharama itategemea na sehemu ulipo, lakini haizidi 10,000
iFRESH Beard Balm kwa ajili ya ndevu, inazipa muonekano mzuri sana. Unaweza kuipaka muda wowote (asubuhi, mchana au jioni) Ina virutubisho viuri vya kukuza na kuzipa afya ndevu zako. Harufu yake ni nzuri na haiumizi kifua
Inapatikana kwa ujazo wa 60g
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!