Fungua biashara yako sasa!!!
Hii hapa mashine ya kutengeneza Soft Ice Cream
*Hii ni mpyaa.
*Ina mikono mitatu.
*Tenki zake mbilii zinagandisha lita 18 hadi 25 kwa saa.
*Haitumii umeme mwingi.
*Hii ni kwa matumizi ya biashara tu.
Tsh 2,500,000 tu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!