14. Aug '20, 00:13
Utambulisho wa Tangazo: 1857594
TSh 80,000,000

house for sale dodoma

Dodoma Mjini Dodoma Chidach st marrys
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
No of bedrooms
4
No of bathrooms
4
Amenities
  • Ina nyumba ndogo pembeni
Maelezo

Nyumba ni nzuri inapatikana dodoma mjini,chidachi st marrys, ipo katikati kabisa ya miundombinu yaani maji na umeme,barabara ni nzuri na inapitika kwa urahisi sana na ina eneo kubwa (sqm 980)ambapo mbele unaweza kuweka nyumba nyingine kubwa pamoja na bustani nzuri ya maua(garden).ipo karibu na international school (st marys),ni eneo zuri sana na salama.
piga simu/tuma ujumbe mfupi kwenda kuiona nyumba hii
KARIBU

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
DOVE REAL ESTATE & CAR RENTAL.
Mwanachama tangu 21. Jun '19
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!