NYUMBA INAUZWA
MAHALI- #Kisasa(Dar es salaam road)-mtaa wa kata upepo(wind mill)
UMBALI-Dakika 7 kwa mguu kutoka kwenye lami
SIFA ZA NYUMBA
#Vyumba 04 vya kulala,kati ya hivyo Kimoja ni master
#sebule
#jiko
#Dining
#stoo
#Public toilet
#iko ndani ya fensi
SERVANT QUARTER
-ina chumba kimoja
-pia kuna public toilet kwa nje
HUDUMA
#maji yapo
#umeme upo
DOCUMENT-Hati safi(clean Title deed)
UKUBWA WA KIWANJA-600Sqm
BEI-75,000,000/=
GHARAMA ZA KWENDA SITE
20,000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!