#HOUSE FOR SALE AT MBEZI MWISHO
;
;
#LOCATION:- MBEZI LUGURUNI KAMA UNAENDA KIBAMBA
;
;
#DISTANCE:- Umbali wa kilometa 1.5 kutoka Morogoro road Barabara ipo vizuri sana hadi kwenye nyumba
;
;
#NYUMBA KWA NDANI:- Ina vyumba 5 vikubwa Sana vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa sana na kila chumba kuna makabati, sebule kubwa sana, jiko kubwa la kisasa na choo kizuri cha familia na choo kingine Cha nje pia .
;
;
#Kuna mabanda ya kufugia kwa nje Kuna eneo ambalo ameotosha migomba na anavuna ndizi tuu,maji dawasco masaa 24,,eneo lote limezungushiwa ukuta
;
;
#Bei ni 130,000,000/=(130M)
;
;
#UKUBWA:- Eneo lina ukubwa wa SQMT 1427
;
;
#DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
;
;
Service charge, 20,000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!