#Repost @dalalimbezibeach_Semba
• • • • • •
HOUSE FOR SALE /INA UZWA
MAHALI-SALASALA M BUYUNI
Dar es salam
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
UMBALI SEKUNDE 37 TOKA BARABARA KUU YA LAMI
UKUBWA WA ENEO LAKE #LIMEPIMWA-#SQM_5535
NYARAKA ZA UMILIKI INA-#HATI SAFI MKONONI
MANSION LA KIFAHARI
LENYE:-
Vyumba Vinne vya kulala Vyenye Makabati full AC Viwili katiyavyo ni Master, Changing room, Library, Dinning, Sebule Vyote full AC, Jiko zuri lenye Makabati, Stoo, Laundry
Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa luku yake
Maji yapo ya bomba
Garden, Gym ⛹️, Swimming ? pool 2 ya Wakubwa/watoto
Vyoo/Mabafu ya nje
Cars Parking space
Pavingblocks
PIA INA BOYCOTT YENYE:-
Vyumba Vtatu vya kulala kimojawapo ni Master na Public Toilet
Fencedmansion
BEI LINAUZWA TSHS BILIONI 1.4
KWA MAWASILIANO PIGA
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!