NYUMBA INAUZWA(HOUSE FOR SALE AT MWENGE):
IPO MWENGE LUFUNGIRA KARIBU NA KANISA LA KAKOBE
INA VYUMBA 3 JIKO NA SEBILE:
UKUBWA ENEO SQR MITA 100+:
DOCUMENTS ZOTE ZIPO:
KILOMETA CHACHE KUFIKA MLIMANI CITY NA CHUO KIKUU
NYUMBA ZA IBADA NA HOSPITAL YA LUGARO NI KILOMETA CHACHE KUZIFIKIA:
MULTIFX AGENCY :
COME FOR BETTER SERVICE:
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!