#VYUMBA_VINNE
STAND ALONE HOUSE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH RAMADA
KODI TSHS MIL 1,800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
IKO PEKEE YAKE NDANI YA FENSI
YENYE:-
Vyumba Vinne vya kulala #Viwili masta (Vyumba vyote vina makabati) #Sebule kubwa yenye #Ac #dinning #Jiko kubwa lenye makabati na Stoo, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #LargeWindows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#FencedHouse
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!