VYUMBA VITATU VIKUBWA
INAPANGISHWA STAND ALONE INAJITEGEMEA
IKO DAR-ES-SALAAM TZ
MAHALI MBEZI BEACH
KODI TSHS LAKI 900,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
YA KIFAMILIA
Vyumba# vitatu vya kulala# Vikubwa Kimoja Wapo# Ni Mastar Sebule# Dinning Jiko# Lenye Makabati #Stoo Choo Bafu #vya Ndani Public #Tiles Gypsum #Aluminium Windows Full #AC
Maji# Bomba yapo #24hrs
Umeme #Upo wa luku# yake
Cars #Parking Space# Ipo
Nje# Pervingblocks
#Fencedhouse
Garden
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!