Delivery inafanyika kwa uaminifu mkubwa. DAR unaletewa mikoani unatumiwa.
Asali asilia kabisa (Organic). Haina mchanganyiko wa kemikali yoyote. Imefungashwa katika chupa bora na imethibitishwa na TBS. Hii ni chupa ya gram 450.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!