13. Aug '19, 16:40
Utambulisho wa Tangazo: 762797
TSh 700,000,000

12 Acres Plot at Bagamoyo Kitopeni

Bagamoyo Pwani Bagamoyo Kitopeni
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
48,560.0 m²
Maelezo

Plot iko Bagamoyo kitopeni kushoto kabla hujafika bagamoyo mjini mita 300 tu toka Bagamoyo main road mpaka kuingia kwenye eneo ina upana wa mita 12 eneo ndani lina mabanda mengi ya kufugia Kuku wa kisasa na kienyeji na Nyumba Kali kama inavyoonekana maji yapo plot ina ukubwa wa Heka 12. Eno lina title deed matumizi ya eneo ni viwanda. Kwa pamoja na vilivyomo ndani Linauzwa mill 700 na maongezi yapo.

Kwa maelezo zaidi nipigie au Chart Whatsapp kupitia namba yangu ya tigo

Price : Mill 700

Note:
12 acres =
48562.277 square metres

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kasobile Property
Mwanachama tangu 29. Oct '13
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!