Tegeta Scansca ukumbi unauzwa
Kiwanja kimepimwa kina Hati
ukubwa wa eneo 3000sqm
Ukumbi una gorofa moja una uwezo wa kuingiza watu 2000
Parking ipo ndani na nje
Ukumbi unaweza tumika kama sehemu ya kufanyia sherehe,mikutano na Ibada(Kanisa)
*Bei 1bl
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!