GEMS METALLIC STOCKPOT 3PCS SET.
*Hizi ni sufuria nzito kupita kiasi.
*Brand yake ni SQ PROFESSIONAL kutoka UK.
*Hizi ni Stainless steel.
*Zina mifuniko ya vioo.
*Ni nzuri sana.
*Haziunguzi
*Hazichubuki
*Ni nzito sanaa
Zipo tatu
*Kubwa kabisa inaingia kilo 4
Tsh 255,000 kwa zote tatu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!