Dar es salaam na dodoma ni bure endapo utakua na order kubwa
Aina ya mbao tunazo tumia ni mninga na mkongo,bei zetu huendana na ubora wa kazi
,please usiogope bei bali penda kilicho bora
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!