karibu @mongo_classic_furniture kwa huduma bora na zinazojari mteja,,,,
USILENGE KUTIMIZA NDOTO TU(kwamaana utaogopa bei na hutopata kilicho bora)
JARI UHITAJI SAHIHI (kwa maana chenye ubora siku zote ni ghari)
,,,ZINGATIA,kabla hujaweka lengo la kununua kitu fulani jihidi ukitambue kwanza..
Nakama unachohitaji kununua kinahusiani na FURNITURE, basi tunakukaribisha uweze kuomba ushauli wowote au kuuliza swali lolote bila kusita nasi tutakusaidia...
Karibu sana....⬇️⬇️
HUU NI WAKATI WA MAPINDUZI YA FURNITURES
,,,KARIBU MONGO CLASSIC FURNITURES AND DECORATIONS
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!