30. Jan, 13:12
Utambulisho wa Tangazo: 2461882

FUNDI UMEME

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam
Maelezo

ROYAL SECURITY SOLUTIONS -

?Karibu tukufanyie wiring ya kisasa kabisa yenye mifumo yote inayojitosheleza.. sheria zote za umeme zinafuatwa (I.E.E Regulations) ili kupata matumizi sahihi ya nishati ya umeme pamoja na uimara wa mifumo yote ..

➡️Usikubali kufanyiwa wiring na fundi ambaye hana utaalamu au hajakidhi viwango vya kufanya kazi hiyo .

?Madhara ya kufanya hivyo ni makubwa ikiwa ni pamoja na matumizi makubwa ya umeme ambayo hayaendani na matumizi haisi .
?Kuungua kwa vifaa vya ndani kila mara
?Hatari ya nyumba kuungua moto hi.

KARIBU ROYAL SECURITY SOLUTION KWETU UPATE KINACHOSTAHILI ,IKIWA NI PAMOJA NA USAFI WA KAZI NA UBORA . TUNAFANYA KAZI POPOTE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA

Tupo mbezi beach makonde

popote tunafanya kazi

Royal security solutions
Mwanachama tangu 21. Jul '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!