Delivery kwa gharama ya mteja
5000 Tsh -10000 Tsh
Hii ni programu ya kupungua uzito kutoka kampuni ya Forever.
Hii programu hufanyika kwa siku tisa kama jina linavyoonyesha na ni mwanzo wa safari ya kuelekea kupungua uzito
Kwa kutumia programu hii utaweza kupungua kuanzia kilo 4 na kuendelea. Na baada ya hii programu (baada ya siku tisa) unaweza kutumia programu nyingine ya Fit-15 (F-15) ya siku 15.
Hii package ndani kuna
Hii programu inafaida kama
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!