Banda hili lipo kiwalani, linauzwa milioni 45 maogezi yapo ukubwa wa eneo lake ni 30 kwa 20 documents Lesen ya makazi lipo kwenye mtaa mzuri sana pia kutoka airport ni umbali wa dakika 8 tu kwa gari, kwa sasa kuna wapangaji, Nb: nyumba hii ipo imara unaweza kuikarabati ukaendeleea kupangisha au ukabomoa ukajenga nyumba nyingne, haipo mbali na barabara kubwa ya lami inayotoka Temeke kwenda airport pia nyumba hii ilipo karibu na soko njoo ukague tufanye biashara garama za kwenda saiti kuona ni za mteja mwenyewe
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!