#Modern Flat Apartment for Rent at Kimara Temboni; 300k x 6
;
#Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo ni master bedeoom), sebule kubwa, jiko kubwa la kisasa na choo cha familia na kila apartment inajitegemea kwa kila kitu
;
;
#zipo Kimara Temboni upande wa kushoto km unaenda Mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 10 kwa miguu
;
;
#Kodi 300,000/= x 6
;
;
#Malipo ya dalali Festo ni hela ya mwezi mmoja 300,000/=
;
;
#service charge 20,000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!