21. Mei, 23:13
Utambulisho wa Tangazo 2278597
TSh 200,000

FENICHA ZA WATOTO

Kinondoni, Msasani Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Ndani ya mipaka ya Jiji la Dar ES Salaam

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Jipatie Kochi la kunyonyeshea/kumlishia Mtoto kwa TSH 300,000 tu.

Pia unaweza toa order za kutengenezea fenicha nyingine mbali mbali za watoto KAMA Meza ya kusomea, makabati, vitanda, Uzio wa kucheza mtoto n.k kwa Bei rafiki na bidhaa zenye ubora wa Juu.

Tunatoa pia ushauri wa mpangilio wa chumba Cha watoto kwa Bei naafuu.

TUWAPENDE WATOTO WETU KWA KUWAANDALIA MAZINGIRA BORA.

KWA DAR ES SALAAM MZIGO UNALETWA MPAKA KWAKO.

Tupo msasani drive inn na mikocheni regent estate.

Agent Rich
Mwanachama tangu 14. Jun '15
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!