Eneo hili lipo mbagala rangi tatu,ndio mjini kwenyewe kabisaa.Eneo hili lina ukubwa wa ekari 4.Eneo kama unavyoliona,lina face barabara kuu.Vurugu zoote za mbagala,mishemishe zoote za mbagala ndio zipo hapa.
Bei yake ni shilingi Bilioni 8 tu.kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba zangu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!