9. Jun, 07:42
Utambulisho wa Tangazo 2943293
TSh 50,000,000

Ekari MOJA inauzwa karibu kabisa na chuo Cha afya KIKOHAS kigamboni mwembe mdogo

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam Km 22 kutoka ferry na km 1 kutoka main road
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Reference
Samwel
Price per square unit
Hapana
Square units
1.0 ekari
Maelezo

Ipo kigamboni mwembe mdogo karibu na chuo Cha afya KIKOHAS ni km 22 kutoka ferry na km 1 kutoka main road kama unavyoona nipazuri hapajai maji sifa za ENEO
1: limezungukwa na barabara kubwa mbili hivyo unaweza kujenga Frem za biashara.

2:unaweza kujenga HOSTEL za wanachuo maana linatazamana na chuo kabisa kama unavyoona
3:hata makazi yako mwenyewe unaweza kujenga na kuishi maana ni karibu na stand ya daladala gari zageuza hapohapo.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Samwel msofe
Mwanachama tangu 8. Jun
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!