11. Okt, 10:23
Utambulisho wa Tangazo 3496403
TSh 4,200,000

EASYPOWER DIESEL GENERATOR 9KW

Ilala, Kisutu Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free Delivery in Dar Es Salaam

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

FAIDA YA GENERATOR HII:-⁣⁣⁣⁣⁣⁣

✅ Generator hii ni rahisi sana kuiwasha yaani unawasha kwa ufunguo tu.⁣⁣
✅ Generator hii ina magurudumu yaani inakuwa rahisi kuhamishika.⁣⁣
✅ Generator hii ni Closed body yaani imefungwa na body ili kupunguza kelele so haina kelele yakukera.⁣⁣⁣
✅ Generator hii inatumia Diesel⁣⁣ yaani unywaji wake wa Diesel ni mzuri Diesel ya lita1 tu unaweza kuitumia hadi kwa masaa mawili yautumiaji.⁣⁣⁣
✅ Generator hii inauwezo mkubwa sana yaani inatoa umeme mwingi wakuwasha vitu vingi sana⁣⁣⁣.

✅ NA PIA KIKUBWA ZAIDI GENERATOR HII NI IMARA SANA NA TUNATOA ENGINE WARRANTY WA MWAKA MZIMA⁣⁣.⁣⁣⁣
✅ Na generator hii Spare zake ziko nyingi dukani kwetu na bei ya spare zake pia ni rahisi⁣⁣⁣⁣⁣⁣

DOTCOM MACHINERY
DOTCOM MACHINERY
Mwanachama tangu 15. Jun '20
Verified via:
Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!