21. Mei, 17:11
Utambulisho wa Tangazo 1863097
TSh 25,000

Digital electronics kitchen scale

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Door to Door

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

DIGITAL ELECTRONICS KITCHEN SCALE
Tunauza mizani za kisasa kwa ajili ya kupimia vitu mbalimbali vya kupikia majumbani kama unga,mchele,maharage,sukari,samaki n.k.

Pika kwa mahesabu na kwa uwiano mzuri wa chakula kulingana na mahitaji.

Mizani zetu ni simple kutumia na zinapima kuanzia gramu Moja,(1g) mpaka Kilo kumi(10kg).

Kwa bei nafuu mno.

Tupigie tukuletee popote ulipo

Saler
Mwanachama tangu 1. Sep '19
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!