DIE CAST STOCKPOT 5PCS SET.
*Hizi ni sufuria nzito kupita kiasi.
*Brand yake ni SQ PROFESSIONAL kutoka UK.
*Zina mifuniko ya vioo.
*Ni nzuri sana.
*Zipo tano kwa set nzima.
*Kwa makadirio ni kilo 0.5, 1,2,2.5,na 3
*Zina matumizi mengi.
*Unaweza tumia kama sufuria ya kawaida.
*Unaweza zitumia kwa majiko ya Induction Cooker yanayochagua sufuria.
*Unaweza zitumia kama hotpot maana zinahifadhi joto kwa muda mrefu.
*Unaweza zitumia kama SERVING DISH.
Tsh 300,000
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!