25. Jan, 09:12
Utambulisho wa Tangazo: 2444421
TSh 25,000

Dawa Ya Meno Madhubuti

Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Seller offers delivery

5000

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

DR. TS TOOTHPASTE
DAWA YA MENO MADHUBUTI

DR. Ts dawa ya meno iliyotengenezwa kwa mitishamba ya kichina yenye kusaidia matatizo mengi ya kinywa ikiwemo, meno kuoza, fizi kutoka damu na kuvimba inaondoa harufu mbaya kinywani na kuondoa bacteria na masalia kwenye meno.

∆ Dawa ya meno ya DR. TS inasaidia kupunguza gesi tumboni hivyo ni nzuri kwa wenye vidonda vya tumbo.
∆ Ni dawa nzuri kwa kuondoa chunusi sugu usoni na vipele na vijipu vidogovidogo.
∆Inaweza kutumika kama scrub usoni.
∆ Unaweza kupaka kwenye fungus miguuni na vidonda ilikuharakisha kupona haraka.
∆ Nidawa nzuri kwa watoto wenye vijipu na mapele pia nisalama hata wakimeza kwa kuwa inawasaidia kupunguza gesi tumboni.
∆ Unaweza kutumia kama after shalve baada ya kunyoa ndevu au mengineyo.
∆ Inaongeza kinga zidi ya magonjwa ya kinywa.

MATUMIZI MENGINE YA DR.TS

√ Tumia kwa kuondoa rangi na kung'arisha kucha zako.
√ Tumia kung'arisha masinki ya jikoni hapo nyumbani.
√ Tumia kusafisha pasi yako nyumbani.
√ Tumia kuondoa madoa kwenye nguo yako na makapeti pia.
√ Tumia kusafisha CDs na DVD kwa kuondoa schrach.
√ Tumia kwa kung'arisha sori za viatu hasa raba (simple).
√ Tumia pia kama jelly kwenye nywele.
√ Tumia kwa kuondoa chewing gum iliyo nasa kwenye nywele.
√ Tumia kuondoa shombo kwenye mikono inayotokana na vitunguu saumu, samaki,na vinginevyo.
√ Tumia kusafisha chupa au container za watoto zinazotumika kuwekea vinywaji kama maziwa,chupa za chai ili kung'arisha na kuondoa harufu.
√ Tumia kwa kusafisha madoa ya chai,kahawa na kung'arisha meza yako.
√ Tumia kwa kusafisha na kung'arisha vitu vya thamani kama, silver,dimond, rings,gorld, bracelete, gamestone.
√ Tumia kwa kusafisha makapeti yenye madoa.

Moana
Mwanachama tangu 15. Jan
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!