HIZI APARTMENT ZIPO MBILI TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA CHUMBA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA PUBLICK TOILET FULL TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINIUM SLAIDING WINDOW LUKU INAJITEGEMEA MAJI YA DAWASCO YANAFLOW NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA KIMARA SUKA DK4 KUTOKEA MAIN ROAD BEI ? LAKITATU NA NUSU MAONGEZI YAPO
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!