23. Jun, 01:28
Utambulisho wa Tangazo 2993342
TSh 990,667,986

College for sale Dar es salaam

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Nsb
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Terms
Inahitaji Kodi ya Mwezi Mmoja
Price per square unit
Ndiyo
Square units
700.0
Amenities
  • Kwenye Lami
  • Kuna Kiyoyozi
  • Bwawa la Kuogelea
  • Maji yanalipiwa kwenye kodi
  • Ina Samani Baadhi
  • Ina chumba cha kuhifadhia chakula cha baridi
  • Kuna sehemu ya kufanya mazoezi (Gym)
Maelezo

Kumekucha tupo tena chuo kinauzwa : location ubungo msewe mitaa 700 toka morogoro road ,majengo bora ya utawala ,maktaba,computer room,ofisi za waalimu,madarasa ya kutosha,vyoo,hostel na canteen ,kimesajiliwa kama chuo cha ualimu ,unaweza badilisha matumizi ,hati zote zipo bei ya kuuza 1:8 bilioni maongezi yapo na bei ya kukodisha ni 8 milioni kwa mwezi karibuni sana

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Ebeneza masaki
Ebeneza masaki
Mwanachama tangu 25. Nov '20
Verified via:
Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!