5. Dec '20, 12:02
Utambulisho wa Tangazo: 2336046
TSh 130,000

BULB CAMERA PANORAMA

Kinondoni, Mwananyamala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Within Dar es salaam free delivery

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Aina
Aina Nyingine
Maelezo

BULB CAMERA
WIFI PANORAMA CAMERA
.
?Camera hii inaweza kurecord matukio kwa angle ya 360°, yaani inarecord matukio kutoka pande zote
.
?Unaweza kuitumia Camera hii kama BULB, inatoa mwanga kama BULB zingine
.
?Hii camera ina VOICE FUNCTION kwahiyo utaweza kuwasiliana na mtu aliyopo karibu na camera kwa sauti na mkasikilizana vizuri kabisa

BEI 130,000 TZS BILA MEMORY CARD
.
?BEI: 160,000/= tu ikiwa na memory Card yake 32GB original

?Ili uweze kuaccess matukio, unatumia app yake ambayo ipo playstore unaunganisha na wifi, ukiunganisha na wifi ya simu utaona matukio ukiwa karibu, ili uweze kuona matukio kupitia simu yako ya mkononi ukiwa popote pale duniani unaunganisha na wifi ya router, unaweza kutumia router yoyote

Mifi router 130,000/=
Router 4G lite (simcard slot) 230,000/=

Star7electronics
Star7electronics
Mwanachama tangu 17. Jun '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!