ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.50,000.
Mtaa nzuri, tulivu na uliojengeka.
Ujenzi wa kisasa.
Masta,Sebule,Jiko,Store na Choo cha Familia ndani.
Umiliki Mkataba wa Mauziano.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!