19. Sep, 13:40
Utambulisho wa Tangazo 3384652
TSh 8,000 TSh 10,000 Save 20%

BF SUMA ANATIC SOAP

Other District Other Location
Seller offers delivery

Uwe ndani ya Arusha Mjini tu .Tofauti na apo utachangia gharama zitakazo husika

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Ni sabuni iliyotengenezwa kupitia vitu vitatu( 3)

(1)asali ya nyuki wadogo
(2)mchaichai
(3)zabibu

KAZI ZA HII SABUNI

→inaondoa chunus,madoa na harara kwenye Ngozi

→inaondoa mba

→utangatanga na miwasho

→inaifanya ngozi kua safi mda wote

→ni nzuri sana kwa jinsia zote

→inasaidia ngozi inayotoa mafuta

→ni nzuri sana kwa watoto.

→inaondoa mapunye kwa watoto na wakubwa pia

→ inakawia kuisha mana ningumu sana.it's well compacted)

→Inaondoa fangas na harufu mbaya sehem za siri.

Inalinda bactreia za kwenye ngozi(skin bacteria)
inachangia uwepo wa unyevu wa asili wa ngozi yako (Skin Elasyisity

Nisabuni ya asili kabisa haiba chemicals aina yeyote

Inapatikana
Arusha
Dodoma
Mwanza
Morogoro
Dar es salaam na nk

Ukiitaji nyingi tutakupunguzia

Bf suma
Mwanachama tangu 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!