Tunafanya delivery Popote Tanzania na Nje ya Tanzania kwa Gharama nafuu kabisa.
Dar - Gharama ni 5,000 (popote tunakuletea)
Mkoani - Gharama itategemea na sehemu ulipo, lakini haizidi 10,000
Brush nzuri la laini kwa ajili ya kunyoosha ndevu au nywele zako. Haiumizi wala kukwaruza ngozi, haing'oi ndevu wala nywele.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!