11. Feb, 04:40
Utambulisho wa Tangazo: 2140067
TSh 14,000,000 / m²

BEACH PLOTS ZINAUZWA KIGAMBONI BUYUNI

Temeke, Pemba Mnazi Dar Es Salaam Kigamboni
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
BUYUNI
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
400.0 m²
Maelezo

MRADI MPYA!!!
BUYUNI BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo Buyuni beach.
-Umbali ni 45km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Bei ya square meter moja ni 35000.
Bei ya square meter 400(20m kwa 20m) ni milioni 14.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-Maongezi yapo.
NJIA ZA MALIPO
Unaanza kulipa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
ZINGATIA:
Viwanja havigusi maji moja kwa moja ila ni mita chache toka baharini na view ya bahari unaiona kwa uzuri na ukaribu.

KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Mwanachama tangu 16. Jun '20
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!