2. Jun, 10:12
Utambulisho wa Tangazo 2909169
TSh 135,000

BAWASILI BILA UPASUAJI

Other District Other Location
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.

A.KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS)

1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu.

2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.

Aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;

i.Bawasir kutotoka katika mahali pake(iliyosimama)

ii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia

iii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.

iv.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.

B.NINI KINASABABISHA BAWASIR ?

Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha

-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu

-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)

-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX)

-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.

C.DALILI ZA BAWASIR

-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia CHEMATOZECHEZIA

-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa

-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)

-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.

-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.

-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

D.ATHARI ZA BAWASIR

-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)

-STRAGULATED HEMORRHOID

-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.

-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.

-Kuathirika kisaikolojia

-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.

-Kupungukiwa nguvu za kiume

Call: kupata ushauri na matibabu tupigie

Tunapatikana
Arusha
Dar es salaam
Morogoro
Dodoma
Mbeya
Mwanza
Moshi na nk

Bf suma
Mwanachama tangu 26. Feb '20
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!