Unaletewa mpka saiti kwako free
Je wajua kupata bora ndio fahari???
Pata mbao za dawa(treated) kwa bei nafuu sana na uletewe mpka sait kwako bure kbsa. Pia usisahau tuna bati za MSAUZI nzuri zisizo pauka wala kutoboka kwa sababu zimezingatiwa ubora mkubwa. Wahi mapema kwenye offer ya january hii yenye kujumuisha
#misumari bure
#usafiri bure
#kenchiwaya bure.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!