10. Mac, 07:13
Utambulisho wa Tangazo: 2575904
TSh 800,000

Bangaloo linapangishwa

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam Near mbezi mwisho
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
No of bedrooms
6
No of bathrooms
4
Amenities
  • Kuna Kiyoyozi
Maelezo

#STAND_ALONE_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
.
.
BANGALOO la nguvu kabisa linalojitegemea kwenye fensi kubwa ya kisasa linapangishwa linapangishwa
.
.
Lina vyumba 6 vya kulala Kati ya hivyo vyumba 2 ni master bedroom,sebule kubwa,dining,jiko kubwa la kisasa na vyoo vya familia vya kutosha
.
.
Kodi ni 800,000/=x6
.
.
Fensi iliyozungushiwa waya za umeme kulinda wezi,
.
.
Nyumba ipo mbezi kibanda cha mkaa upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dakika 20 kwa miguu
.
.
Service Charge ni 10,000/=

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
DALALI IVAN UBUNGO KIMARA
Mwanachama tangu 10. Mac
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!