Banda lina vyumba vi3 kimoja ni chumba na sebule, pia eneo lake ni Sqm 450 documents Kuna offa eneo lipo mtaa mzuri sana sio bondeni ni kizuiani karibu na shule ya msingi ya Annex njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni elfu 15 umbali kutoka barabara kubwa ni dakika 6 kwa miguu, bei millioni 45 maogezi yapo Nb: Kiwanja kilchobakia unaweza kujenga nyumba nyingne kubwa tu bila kuvunja Banda lilipo kwa sasa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!