Baking Tray
*Unaweza zitumia kuokea keki,mkate,biskuti na vingine vingi.
*Pia unaweza kuzitumia kusevia chakula mezani(Serving Dish)
Tsh 70,000 kwa zote nne.
Tsh 60,000 kwa zote tatu.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!