NYUMBA NZURI SANA ZINAPANGISHWA
MAHALI-MLIMWA C
SIFA ZA NYUMBA(KILA MOJA)
-VYUMBA 02 VYA KULALA,KATI YA HIVYO KIMOJA NI SELF CONTAINED
-SEBULE
-JIKO KUBWA(LINAFUNGWA MAKABATI)
-PUBLIC TOILET
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-PARKING SPACE IPO
-ZIKO NDANI YA FENSI
-KUNA WATER RESERVE TANK(KILA MMOJA YAKE)
-MNAKAA WAPANGAJI WAWILI TU KWENYE COMPOUND
-NYUMBA NI MPYA HAZIJAWAHI KUKALIWA
-KUNA HEATERS KWAAJILI YA MAJI MOTO BAFUNI+JIKONI
BEI-450,000@MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI 6+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=
NB-NYUMBA ZIKO KWENYE FINISHING NDOGO NDOGO RUHUSA KUONA+KULIPIA
KWA MAHITAJI YA MAGARI NIFOLLOW @magaridodoma
PIA TUNATOA HUDUMA ZA USAFI/LAUNDRY/LANDSCAPING MAJUMBANI/MAOFISINI TUPIGIE
NB-WEKA ODA DM/WHATSAP YA KITU UNACHOKITAFUTA MAPEMA IWE NYUMBA ZA KUNUNUA+KUPANGA/VIWANJA/MAGARI
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!