9. Jun, 12:45
Utambulisho wa Tangazo 2944649
TSh 500,000

APPARTMENT FOR RENT

Dodoma Mjini Dodoma
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Terms
Inahitaji Kodi ya Mwezi Mmoja
Maelezo

APPARTMENT CLASSIC INAPANGISHWA

MAHALI-CHIDACHI

CHIDACHI-INAPAKANA NA KIKUYU,IMAGE

SIFA ZA APPARTMENT
-VYUMBA 2 VYA KULALA,KATI YA HIVYO KIMOJA NI SELF CONTAINED
-SEBULE NZURI
-JIKO KUBWA+ZURI
-OPEN DINING
-STOO
-PUBLIC TOILET
-CHUMBA MASTA NI KIKUBWA+KINA KABATI
-ZIKO APPARTMENTS TATU KWENYE COMPOUND NA KILA MOJA INAJITEGEMEA MAJI+UMEME

HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
-PARKING SPACE IPO
-IKO NDANI YA FENSI
-KUNA WATER RESERVE TANK
-STOO YA NJE
-A.C SEBLENI+VYUMBANI
-HEATER KWAAJILI YA MAJI MOTO
-ELECTRIC FENCE IPO

BEI-500,000@MWEZI

MUDA WA MALIPO-MIEZI 3+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI

GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000/=

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Mwanachama tangu 30. Des '15
Verified via:
Email Mobile Number
Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!