APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KINONDONI
USD 550
MALIPO NI MIEZI 6
NA MALIPO YA KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI @mo_realestateagent
APARTMENT NZURI YA KISASA
YA FAMILIA
YENYE:-
Vyumba vitatu vikubwa vya kulala viwili ni #Master #Dinning #Sebule kubwa #Jiko #Stoo
#Choo/#Bafu vya ndani vya wanafamilia
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku
#Heater ya maji moto ipo
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Ina Cars #Parking #Garage
Cars #Parking Space ipo
Nje
#Fenced
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!